Nauza nyumba Mbeya mjini

Nauza nyumba Mbeya mjini

Ghost.js

Senior Member
Joined
Jul 1, 2015
Posts
188
Reaction score
347
Nyumba inauzwa Mbeya mjini, karibu na stand kuu ya nanenane, hamna dalali piga kwa mhusika 0744757738View attachment 2152813View attachment 2152814
IMG_20220131_120732_065.jpg
 
Weka bei mkuu, ingawa kutakuwa na gharama ya kubadilisha hizo bati.
 
Dah yan mil 90 ,kwa vyumba viwili na sebule na choo cha nje !! Sasa mkuu si bora tukajenge za kwetu ! Kuwa muungwana !
 
Back
Top Bottom