Mkuu ningekuwa mimi nisingeuza nyumba kwenda kulima. Lkn nikutakie mafanikio ya mipango yako......Mkuu chilumendo, hiyo nyumba ninayoiuza nimejenga kwa kilimo, sio moja tu, kijijni ninayo, pia kule kwa morombo ninayo, kwa kupitia kilimo, kilimo kinalipa mkuu