Nauza nyumba maeneo ya Kisewe(Mbande)

Nauza nyumba maeneo ya Kisewe(Mbande)

1480185765184.jpg
 
Ni picha za nyumba inayouzwa kama tangazo lilivyo,kwenye picha ya kwanza,kubwa ni nyumba yenyewe,milango yake ipo upande mwingine na yenye matoleo ni frem ambapo unaweza endeleza nyingine nne.picha ya tatu ni nyumba upande wa mbele ikionyesha milango mitatu ikiwa ni sebule ndani yake chumba hivo kupata vyumba sita.being ni ileile million 12.karibun sana
 
Kuna eneo la kutoa tena nyumba nyingine kama hiyo kwa ukubwa.
 
Namba zetu ni zilezile kwa wale wenye kutaka kuja kuiona nyumba;0627437416/0719963345.
 
Back
Top Bottom