marwajob
Member
- Nov 20, 2016
- 50
- 61
Nauza nyumba ina vyumba sita imeisha ila tu kuezekwa, ila imeezekwa kikawaida vyumba vitatu vinakaliwa, ina frem moja mbele lakini lipo eneo la kuongeza frem zingine nne na eneo lingine la kujenga nyumba ya kama vyumba tano hadi sita. Bei ni million kumi na mbili.