Nauza Nokia E72 kwa 50,000

Nauza Nokia E72 kwa 50,000

katuni

Senior Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
151
Reaction score
77
Habari.

Hii simu ninayoitumia ni NOKIA E72. Naiuza kwa shilingi 50,000.
Ni housing tu tu ndo imechoka tena siyo sana. Kuchaji nachajiaga kwenye sehemu ya USB maana kwenye sehemu yake ya kuchajia ile pini imepinda.

Hiyo ndiyo sababu iliyonifanya niiuze kwa 50.000

simu inapiga kazi kama kawaida. Whatsapp ipo.
Sababu kuu ya kuiza ni kwamba nataka niongezee hela nikanunue Nokia C6.

Mwenye kuhitaji huu mzigo tuwasiliane 0715553166
 
Nakupa blackberry 8980 unaniongeza sh ngapi?
 
Hiyo E 71 inakubali whasapp?,uko mkoa gani?


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
We si ulikataa elfu 70 mbona leo unauza elfu 50 ndugu

mkuu,soma vizuri hapo juu utaelewa. Ni kwamba sehemu ya chaji kwasasa haifanyi kazi kwa kuwa ile pini ya ndani imepinda. Kuna dogo aliingiza chaji ambayo siyo yake ndo akapindisha pini. Sasa kwanini nimuuzie mtu kwa 70,000 wakati itabidi aipeleke kwa fundi ambako huko atatoa hela au La achaji simu kwa kwenye simu ya USB ( chaji ya samsung ). Bado tena mtu aende akabadili Housing. So, hakuna haja ya kuumizana wakati hali yenyewe ni ngumu.
 
Hiyo E 71 inakubali whasapp?,uko mkoa gani?


Sent from my iPhone using JamiiForums app

mkuu, hii siyo E71, hii ni E72 na tayari ina whatsapp na inapiga kazi kama kawa tena ni new version yani nimeiaupdate mwezi uliopita.

Mi nipo Dar es salaam. Nicheki hap 0715553166
 
Mi naitaka hyo inakaa na charge cku ngapi?

mkuu hii simu chaji kama wewe ni wa kupiga na kupokea tu inakaa siku tatu. Ila kama wewe ni kama mimi yani kila mara uko online na kucheza game kwa sana basi siku moja tu umelamba chaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom