Kamata mwizi meeenHuyu mmiliki wa hii gari ni mwanamke anafanya kazi TRA. Ofisini amesema analiuza gari hiki kwa milioni 7. Kampa dalali naye kapandisha bei mpaka milioni 9.5.
Kwa bei hiyo hawezi kuuza gari hilo.
Yangu bado naipenda sana, wameshakuja watu kama 3 wanaitaka nimechomoa.
Mliuza Shilingi ngapi?
Wenzako kina nani wewe ndo unatakiwa kununua hiyomili 9 kwa hizi xtrail kwa sasa mi hapana labda wenzangu
Asubiri utamu u njianiWeka akiba ya maneno
Sasa kama ulichomoa teh nini unatafuta humu au utani?Yangu bado naipenda sana, wameshakuja watu kama 3 wanaitaka nimechomoa.
Mliuza Shilingi ngapi?
Yenu wewe na nani? Au gari ya baba unasema yenu? Kuwa serious bana kuna watu wazima humu.Sisi yetu tumeuza na tumechukua Harrier
Umemaliza mchezo. Umetisha kamanda.
Usinunue gari kwa kuangalia namba mkuu..Gari sio mbaya japo namba imezeeka mzee......
[emoji23]Nissan nyeupe asee.
Hivi inakuaje mnaangalia namba kwenye kununua gari mkuu?Asipokuelewa wewe basi tena sikio la kufa.
Kwa watu wa mjini magari wanayonunuwa nikuanzia namba C.
Wengi wa wanaocoment hapa obvious huwa si wanunuzi!Mmmh!kwa staili hii kweli kuna mnunuzi hapa?
Wabongo service ni mpaka gari iwe na tatizo au apate safari ndefu.. Nissan aina zote tu zinahitaji discipline, ila mbongo umwambie atoe laki 3 kila baada ya miezi 6 kwa ajili ya service tu hata kama gari halina ubovu anaona ni bora akale bia na makahabaTatizo mnakuwa mnasikiliza mambo ya watu amabao utakuta pengine hata baiskeli hawana. Nina Nissan Ex-trail Manual, imemaliza Mwaka mzima sasa lakini haijawahi kuguswa na fundi yeyote. gari ni matunzo tu
Tatizo mnanunua magari kwa viele vya mikopo, Net Pay mnayobaki nayo ni ya kulia bia tu.. Gari za Nissan ni service tusubiri tu, muda ndio mwalimu! extrail sio gari ya kuweka dhamana kiasi hcho aisee , utaimba!
Asante kwa kunisaidia mkuuWabongo service ni mpaka gari iwe na tatizo au apate safari ndefu.. Nissan aina zote tu zinahitaji discipline, ila mbongo umwambie atoe laki 3 kila baada ya miezi 6 kwa ajili ya service tu hata kama gari halina ubovu anaona ni bora akale bia na makahaba
Ngoja upate hela za kununua gari utaelewaWengi wa wanaocoment hapa obvious huwa si wanunuzi!
Wanunuzi tunapiga simu na pm tu
Mie na mke wangu na wanangu !Yenu wewe na nani? Au gari ya baba unasema yenu? Kuwa serious bana kuna watu wazima humu.
Kama hujaelewa ni vizuri kuuliza na sio kukurupuka. hapa hatuzungumzii bei, utanazungumzia liability ya hizi gari
najaribu kuwaelewa wale wanaosema kuwa hizo gari hazifai. jifunze kufatilia cooment zilipotokeaSasa kama ulichomoa teh nini unatafuta humu au utani?