Tatizo mnakuwa mnasikiliza mambo ya watu amabao utakuta pengine hata baiskeli hawana. Nina Nissan Ex-trail Manual, imemaliza Mwaka mzima sasa lakini haijawahi kuguswa na fundi yeyote. gari ni matunzo tuNi kweli usemavyo....Xtrail haziuziki .....watu wenye kujua magari, wanasema ukininunua, ujue umeumia
Weka akiba ya manenoTatizo mnakuwa mnasikiliza mambo ya watu amabao utakuta pengine hata baiskeli hawana. Nina Nissan Ex-trail Manual, imemaliza Mwaka mzima sasa lakini haijawahi kuguswa na fundi yeyote. gari ni matunzo tu
Gari nzuri ya kukodi DarTatizo mnakuwa mnasikiliza mambo ya watu amabao utakuta pengine hata baiskeli hawana. Nina Nissan Ex-trail Manual, imemaliza Mwaka mzima sasa lakini haijawahi kuguswa na fundi yeyote. gari ni matunzo tu
Weeehh....weeh ! Labda unaendea sokoni.Tatizo mnakuwa mnasikiliza mambo ya watu amabao utakuta pengine hata baiskeli hawana. Nina Nissan Ex-trail Manual, imemaliza Mwaka mzima sasa lakini haijawahi kuguswa na fundi yeyote. gari ni matunzo tu
subiri tu, muda ndio mwalimu! extrail sio gari ya kuweka dhamana kiasi hcho aisee , utaimba!Tatizo mnakuwa mnasikiliza mambo ya watu amabao utakuta pengine hata baiskeli hawana. Nina Nissan Ex-trail Manual, imemaliza Mwaka mzima sasa lakini haijawahi kuguswa na fundi yeyote. gari ni matunzo tu
....teh hee hee,
Mbona wengi mnaiogopa? Au ndio ile iliyo husika na watu wasiojulikana. Nunueni jamani mwenzetu anauza
Huyu mmiliki wa hii gari ni mwanamke anafanya kazi TRA. Ofisini amesema analiuza gari hiki kwa milioni 7. Kampa dalali naye kapandisha bei mpaka milioni 9.5.namba BTD ni usajili wa mwaka 2012,tafsiri yake ushaitumia si chini ya miaka mitano!
Ushauri;
- Extrail ni moja ya magari yaliyopoteza sana thamani kwa miaka ya karibuni kutokana na matatizo yaliyokuwa nayo(kuchemsha).
- sasa ivi ukiagiza kwa gari kama hyo yako yenye km's kama hizo basi bei yake haitazidi mil.10 yaani ni kama hyo unayotaka kuuza.
- Unaweza kuliuza but sio kwa bei hyo unless otherwise umekutana na mtu asiye na ufahamu wa magari
- Shusha bei ifike hadi mil.6, nakueleza ukweli tu wala sijadharau gati yako ila ukweli ni kuwa gari za Nissan imiongozwa na Extrail kwa sasa hazina thamani
hii inaitwa kufukua makaburi.
hebu thibitisha uongo wangu uko wapi?....teh hee hee,
..hiyo inaitwa ukiwa muongo uwe na kumbukumbu!
acheni kukaririhii inaitwa kufukua makaburi.
Sasa ndio napata jibu kwanini watu wanaponda Me wa Dar. hamfikirii mankurupuka tu.....teh hee hee,
..hiyo inaitwa ukiwa muongo uwe na kumbukumbu!
Mkuu kila wiki inakimbia zaidi ya KM300 amini usiamini.Weeehh....weeh ! Labda unaendea sokoni.
Sisi yetu tumeuza na tumechukua HarrierMkuu kila wiki inakimbia zaidi ya KM300 amini usiamini.
bata la huku si rahisi lazima usafiri umbali wa kutosha
Yaani mpaka utajikuta unavisha engine ya Rav4 humo.hzi gari ni igonjwa wa moyonamba BTD ni usajili wa mwaka 2012,tafsiri yake ushaitumia si chini ya miaka mitano!
Ushauri;
- Extrail ni moja ya magari yaliyopoteza sana thamani kwa miaka ya karibuni kutokana na matatizo yaliyokuwa nayo(kuchemsha).
- sasa ivi ukiagiza kwa gari kama hyo yako yenye km's kama hizo basi bei yake haitazidi mil.10 yaani ni kama hyo unayotaka kuuza.
- Unaweza kuliuza but sio kwa bei hyo unless otherwise umekutana na mtu asiye na ufahamu wa magari
- Shusha bei ifike hadi mil.6, nakueleza ukweli tu wala sijadharau gati yako ila ukweli ni kuwa gari za Nissan imiongozwa na Extrail kwa sasa hazina thamani
Mchochezi wewee !Hawana hela hawa maneno mengi tu kama rais na mkuu wa mkoa mtoa matamko
Yangu bado naipenda sana, wameshakuja watu kama 3 wanaitaka nimechomoa.Sisi yetu tumeuza na tumechukua Harrier
Khaaa !Yangu bado naipenda sana, wameshakuja watu kama 3 wanaitaka nimechomoa.
Mliuza Shilingi ngapi?