Nauza nissan xtrail mil9.5

Nauza nissan xtrail mil9.5

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
IMG-20170919-WA0018.jpg
IMG-20170919-WA0019.jpg
IMG-20170919-WA0015.jpg
IMG-20170919-WA0014.jpg
Ninauza nissan xtrail ikiwa kwenye hali nzuri sana na sifa zifuatazo
-mileage 145,000
-automatic
-4wd
-haidaiwi chochote
-Full ac
Angalia picha ukipenda njoo 0685369349 tuzungumze
 
  • Thanks
Reactions: kas
namba BTD ni usajili wa mwaka 2012,tafsiri yake ushaitumia si chini ya miaka mitano!
Ushauri;
- Extrail ni moja ya magari yaliyopoteza sana thamani kwa miaka ya karibuni kutokana na matatizo yaliyokuwa nayo(kuchemsha).
- sasa ivi ukiagiza kwa gari kama hyo yako yenye km's kama hizo basi bei yake haitazidi mil.10 yaani ni kama hyo unayotaka kuuza.
- Unaweza kuliuza but sio kwa bei hyo unless otherwise umekutana na mtu asiye na ufahamu wa magari
- Shusha bei ifike hadi mil.6, nakueleza ukweli tu wala sijadharau gati yako ila ukweli ni kuwa gari za Nissan imiongozwa na Extrail kwa sasa hazina thamani
 
Ni kweli usemavyo....Xtrail haziuziki .....watu wenye kujua magari, wanasema ukininunua, ujue umeumia
 
namba BTD ni usajili wa mwaka 2012,tafsiri yake ushaitumia si chini ya miaka mitano!
Ushauri;
- Extrail ni moja ya magari yaliyopoteza sana thamani kwa miaka ya karibuni kutokana na matatizo yaliyokuwa nayo(kuchemsha).
- sasa ivi ukiagiza kwa gari kama hyo yako yenye km's kama hizo basi bei yake haitazidi mil.10 yaani ni kama hyo unayotaka kuuza.
- Unaweza kuliuza but sio kwa bei hyo unless otherwise umekutana na mtu asiye na ufahamu wa magari
- Shusha bei ifike hadi mil.6, nakueleza ukweli tu wala sijadharau gati yako ila ukweli ni kuwa gari za Nissan imiongozwa na Extrail kwa sasa hazina thamani
Asipokuelewa wewe basi tena sikio la kufa.

Kwa watu wa mjini magari wanayonunuwa nikuanzia namba C.
 
namba BTD ni usajili wa mwaka 2012,tafsiri yake ushaitumia si chini ya miaka mitano!
Ushauri;
- Extrail ni moja ya magari yaliyopoteza sana thamani kwa miaka ya karibuni kutokana na matatizo yaliyokuwa nayo(kuchemsha).
- sasa ivi ukiagiza kwa gari kama hyo yako yenye km's kama hizo basi bei yake haitazidi mil.10 yaani ni kama hyo unayotaka kuuza.
- Unaweza kuliuza but sio kwa bei hyo unless otherwise umekutana na mtu asiye na ufahamu wa magari
- Shusha bei ifike hadi mil.6, nakueleza ukweli tu wala sijadharau gati yako ila ukweli ni kuwa gari za Nissan imiongozwa na Extrail kwa sasa hazina thamani
Duh asante sana kwa taharifa kwan umenisaidia sana, yani nilikuwa najipanga one day yes nije nihiagize from Japan lkn kwa maelezo haya kweli migari ya type hii kwangu tena marufuku nitaendesha Toyota tu
 
namba BTD ni usajili wa mwaka 2012,tafsiri yake ushaitumia si chini ya miaka mitano!
Ushauri;
- Extrail ni moja ya magari yaliyopoteza sana thamani kwa miaka ya karibuni kutokana na matatizo yaliyokuwa nayo(kuchemsha).
- sasa ivi ukiagiza kwa gari kama hyo yako yenye km's kama hizo basi bei yake haitazidi mil.10 yaani ni kama hyo unayotaka kuuza.
- Unaweza kuliuza but sio kwa bei hyo unless otherwise umekutana na mtu asiye na ufahamu wa magari
- Shusha bei ifike hadi mil.6, nakueleza ukweli tu wala sijadharau gati yako ila ukweli ni kuwa gari za Nissan imiongozwa na Extrail kwa sasa hazina thamani
Ni kweli kabisa NISSAN EXTRAIL ni magari yamepoteza ushawishi.Nina rafiki yangu ameuza yake namba BNE kwa sh.7m na yenyewe majanga hadi leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom