Nauza nguruwe cross breed ya large white

Nauza nguruwe cross breed ya large white

suziedalitso

Member
Joined
Apr 24, 2015
Posts
15
Reaction score
4
Karibuni nauza Nguruwe wapo 22 Kiromo bagamoyo kwa kilo nauza 7500.kwa wale wanaotaka kuanza kufuga mnakaribisha kuwanunua.bahati mbaya picha zinagoma Ku upload kila nikijaribu.kwa mawasiliano zaidi piga+255754840408 au 0756 661761.asanteni
 
duuu kilo 7500!! Halafu yeye faida akapateje?
 
naona unauza bei ya kitimoto akiwa analetwa na ndizi zake au ugali wake kabisa
 
Back
Top Bottom