Nauza nguo za kike na viatu

Nauza nguo za kike na viatu

Nath81

Member
Joined
May 6, 2013
Posts
32
Reaction score
2
Mambo wana JK,
ninauza flat shoes za kike Kwa bei ya sh 25000, na pia nguo nzuri classic za kike bei kuanzia 17000 hadi 35000..karibuni sana Kwa atakae penda kuona napatikana Kwa no 0719 717555 na watsapp pia..Siku njema
 
Weka sampo
Ila classic kwa elfu kumi na saba au laki na sabini?
 
Well napata shida uploading picha,Kama inawezekana nichek Kwa namba hiyo hapo juu
 
Mambo wana JK,
ninauza flat shoes za kike Kwa bei ya sh 25000, na pia nguo nzuri classic za kike bei kuanzia 17000 hadi 35000..karibuni sana Kwa atakae penda kuona napatikana Kwa no 0719 717555 na watsapp pia..Siku njema

safi sana mjasiriamali
 
Back
Top Bottom