Hahahahahaa....naona uwaza F-something za USA tu mkuu!!! Hahaha....you're so sensitive as far as those issues are concerned mkuu.Loh,nilipoona ndege nilijua zile za Abiria nilitaka nikuunganishe fasta na Baba J.
uko wapi??Habari za leo. Nauza ndege aina ya kanga. Wapo aina mbili weupe na wale wa kawaida. Bado mwezi mmoja waanze kutaga. Wana afya njema sana na wametunzwa vizuri. Bei ni sh 25,000/= kwa ndege mmoja. Nawauza kwa sababu nilipo sina eneo kubwa la kutosha kwa kuwa ni wengi. View attachment 371205View attachment 371206
Labda tupe elimu mbona nasikia ni wagum kuzaliana!! Wanataka wakatage porini!! Inakuaje apo ? Umewezaje kuwazalisha wote hao!!Habari za leo. Nauza ndege aina ya kanga. Wapo aina mbili weupe na wale wa kawaida. Bado mwezi mmoja waanze kutaga. Wana afya njema sana na wametunzwa vizuri. Bei ni sh 25,000/= kwa ndege mmoja. Nawauza kwa sababu nilipo sina eneo kubwa la kutosha kwa kuwa ni wengi. View attachment 371205View attachment 371206
We kijana ni msheee.....Loh,nilipoona ndege nilijua zile za Abiria nilitaka nikuunganishe fasta na Baba J.
Vipi Mayai yao pia unayo if yes wauzaje tafadhali?Sio wagumu kuzaliana, unapaswa kuwalisha chakula sahihi. Na wana msimu wa utagaji. Sio kama kuku
OK! Huyo ana vifaranga au wewe ndo unavyo?Mgaya sina. Nakutahadharisha usinunue mayai kwa sasa. Sio msimu wao wa kutaga. Mayai ya uhakika tafuta mwezi wa tisa au pata vifaranga wadogo 0715077964 wasiliana na huyo kama uko dar. Fika uone project yake
Huyo atakuuzia wakati wa msimu, mimi nikiwa navyo natangaza hapa. Like uwe unapata update. https://m.facebook.com/makurainvestment/
Mi nataka kanga weusiHabari za leo. Nauza ndege aina ya kanga. Wapo aina mbili weupe na wale wa kawaida. Bado mwezi mmoja waanze kutaga. Wana afya njema sana na wametunzwa vizuri. Bei ni sh 25,000/= kwa ndege mmoja. Nawauza kwa sababu nilipo sina eneo kubwa la kutosha kwa kuwa ni wengi. View attachment 371205View attachment 371206