Punguza nikupe 180,000 niifate keshoNami nauza yangu 220000 imetumika mwezi mmoja.
Mpyaa mwenye kuhitaji ani cheki aanze kupiga mpunga.
Biashara hii inalipa sana.
Lengo la kuiuza kijana nilie mpatia afanye kazi hajawa mwaminifu kabisa.
Uko wapi..Punguza nikupe 180,000 niifate kesho
darUko wapi..
swali la mwisho bro, nitajuaje kama hiyo liquid imewekwa kwa ufasaha kwani ni invisible siwezi kupigwa changa la macho wakapaka maji na kuyakausha?Faida kwangu mimi naona ni kukiweka kioo chako ktk hali ya upya na kufanya simu iwe smooth kwenye kioo maana inakua kama haijawekwa protector,na liquid inateleza sana kwahyo ukiweka kioo cha simu yako kitazidi kuwa smooth na kitakuvutia hata wewe mtumiaji wa simu husika,
lakini pia liquid haichakai tofauti naprotector za kawaida ambazo zinachakaa baada ya mwezi utaona simu imeingia mikwaruzo,simu mpya/gharama/nzuri ila protector ina mikwaruzo (haivutii),mwisho pia tusisahau liquid ina protect kioo na kuvunjika kwani nayo ni protector
swali la mwisho bro, nitajuaje kama hiyo liquid imewekwa kwa ufasaha kwani ni invisible siwezi kupigwa changa la macho wakapaka maji na kuyakausha?
swali la mwisho bro, nitajuaje kama hiyo liquid imewekwa kwa ufasaha kwani ni invisible siwezi kupigwa changa la macho wakapaka maji na kuyakausha?
Ha haaa..Hivi unaweza kuweka kwenye TV?
Fake as hell100% scratches kama utapata mtu ataekuwekea kitaalamu na ufundi akapaka liquid vizuri na akaweka simu ndani ya mashine vizuri kabisa.Kuhusu kupasuka hii haina Guarantee ni kama protector za kawaida tu maana hata protector za kawaida nazo ukiweka simu ikidondoka inaweza pasuka vile vile,nahii nayo ni hivyo.
Siku hizi watu wanaweka haki kwa buku 2, hiyo 30 utaisikia kwenye bombaIkiwa kichupa kimoja kinapaka simu 50
Na
Kila simu moja inapakwa kwa 30,000Tsh
Mapato kwa kila kichupa ni
50 x 30,000 = 1,500,000 Tsh
Kwa vichupa vyote 6 ni
1,500,000Tsh x 6 = 9,000,000 Tsh
Sent using Jamii Forums mobile app
hamna huwezi kujua hapo muhimu ni kuweka hiyo liquid kwa mtu unae jua anajua akifanyacho sio huko vichochoroni,kuna wale wameivamia hii biashara kwasababu tu kaona ni ya kupaka paka tu kisha unaweka kwenye kimashine,hao usiende nenda kwa mtu unamuona kabisa hii kazi yake hajaingia kitamaaa ila kanunua mashine ili kuboresha huduma.swali la mwisho bro, nitajuaje kama hiyo liquid imewekwa kwa ufasaha kwani ni invisible siwezi kupigwa changa la macho wakapaka maji na kuyakausha?
kweli ila kumbuka kila mtu na wateja wake na jinsi alivyoji brand,ukija ofisini kwangu hata nikikwambia 50k utatoa kwasababu ofisi ina hadhi hiyo,na pia bei yangu haiwezi fanana na machinga anaezunguka huko mtaani ni lazima tuwe tofauti ila ukijileta ofisini nikuwekee basi utaitoa hiyo 30,000 tofauti na hapo nitakuruhusu ukaweke wanapoweka 3000 ila si kwangu.Wewe unaweka kwa 20k ilhali kuna madogo wanapita mitaani wanaweka kwa 3000. Deal lilikuwa zamani sasa hivi si deal tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
100% scratches kama utapata mtu ataekuwekea kitaalamu na ufundi akapaka liquid vizuri na akaweka simu ndani ya mashine vizuri kabisa.Kuhusu kupasuka hii haina Guarantee ni kama protector za kawaida tu maana hata protector za kawaida nazo ukiweka simu ikidondoka inaweza pasuka vile vile,nahii nayo ni hivyo.
kaka vipi? nahitaji hii bidhaa tafdhaliNauza nano liquid screen protector
Bei: 200,000
Mahali ilipo: Ubungo/Kibo (dar es salam)
Accesories zake ndani kuna:
1. Power bank
2. Liquid zenyewe vipo vichupa 6 (bei ya kimoja kikiisha ni 50,000)
3. Wipes
4. Gloves.
5. Taa mbili (USB lights)
Hizi mashine zipo ndani ya Brief case kwa ndani utazikuta mashine MBILI, maana yake ni kwamba utaweza kupokea wateja wawili kwa wakati mmoja Kwa laki mbili nitakupa mashine mbili ndani ya Briefcase ukafanye kazi unapojua wewe.
View attachment 1338346View attachment 1338347
Lakini pia mimi mwenyewe nafanya DELIVERY ya kuja popote kukuwekea liquid protector kwa gharama ya sh.20,000 tu nitakufata popote ndani ya Dar,karibu nifate PM uniambie ulipo kisha mimi nitakufata ulipo nyumbani kwako kuja kukuwekea liquid protector.
Mawasiliano: Karibuni PM kwa mtakaohitaji hii mashine na kwa wateja mtakaohitaji nije kuwawekea protector popote mlipo ndani ya DAR.
karibu PM mkuukaka vipi? nahitaji hii bidhaa tafdhali