Gunia la mtama linakuwa na kilo ngapi?Uwezo wako tu wa kununua. Bei
Mtama gunia 55,000/=
Alizeti gunia 65000/=
Vitunguu Neti 45,000/=
Mtama ni Kg 120/gunia estimatedGunia la mtama linakuwa na kilo ngapi?
Na alizeti pia gunia lina kilo ngapi?
0768796076Mkuu, ukiweka namba yako ya simu itapendeza zaidi.
Uwezo wakoUnavyo kiasi gani na bei inaendaje mkuu?
Taja kila kitu ili tusikuulize maswali mengi
Mkuu gunia la Alizeti kilo 120 ????Mtama ni Kg 120/gunia estimated
Alizeti ni Kg 120/gunia estimated
Gunia la alizeti kilo 120 kweli?Mtama ni Kg 120/gunia estimated
Alizeti ni Kg 120/gunia estimated