Mwanambugulu JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 683 Reaction score 863 Feb 1, 2021 #1 Kama kichwa kinavyoeleza Hapo naunza mpunga mzuri, upo Tabora gunia za debe saba zipo gunia za kutosha hata kama unahitaji magunia 400 hakuna shida Bei ni shilingi 65,000 tsh kwa gunia Kwa maelezo zaidi piga simu kwa namba 0620 466 351 Karibuni.
Kama kichwa kinavyoeleza Hapo naunza mpunga mzuri, upo Tabora gunia za debe saba zipo gunia za kutosha hata kama unahitaji magunia 400 hakuna shida Bei ni shilingi 65,000 tsh kwa gunia Kwa maelezo zaidi piga simu kwa namba 0620 466 351 Karibuni.
GITWA JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 1,738 Reaction score 2,070 Feb 1, 2021 #2 Tabora ni kubwa mkuu unapaswa kusema tabora wilaya gani?
Mwanambugulu JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 683 Reaction score 863 Feb 1, 2021 Thread starter #3 GITWA said: Tabora ni kubwa mkuu unapaswa kusema tabora wilaya gani? Click to expand... Stock ipo Tabora mjini hapa hapa mkuu nimeshausogeza kutoka maeneo ya skonge kwaio mzigo upo mjini kabisa
GITWA said: Tabora ni kubwa mkuu unapaswa kusema tabora wilaya gani? Click to expand... Stock ipo Tabora mjini hapa hapa mkuu nimeshausogeza kutoka maeneo ya skonge kwaio mzigo upo mjini kabisa
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,454 Reaction score 17,932 Feb 1, 2021 #4 Mwanambugulu said: Stock ipo Tabora mjini hapa hapa mkuu nimeshausogeza kutoka maeneo ya skonge kwaio mzigo upo mjini kabisa Click to expand... Mpunga! ?? Koboa kwanza kamanda.
Mwanambugulu said: Stock ipo Tabora mjini hapa hapa mkuu nimeshausogeza kutoka maeneo ya skonge kwaio mzigo upo mjini kabisa Click to expand... Mpunga! ?? Koboa kwanza kamanda.
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 18,286 Reaction score 26,101 Feb 1, 2021 #5 Aina gani ya mpunga maana.michele imetofautiana
REJESHO HURU JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 5,279 Reaction score 11,543 Feb 1, 2021 #6 Bei elkezi 50k gunia mbegu yoyote ile
white wizard JF-Expert Member Joined May 18, 2011 Posts 8,618 Reaction score 13,894 Feb 1, 2021 #7 Excel said: Mpunga! ?? Koboa kwanza kamanda. Click to expand... Umeliona hilo?!!!mkuu hakuna biashara ngumu kama ya kununua mpunga!!unaweza kuja kulia kilio ambacho, bora ushambuliwe na brigedia nzima , huwezi lia hivyo!!kwa wajuzi wa biashara hii tunajua nini hutokea pale una pokuja kuukoboa!!!
Excel said: Mpunga! ?? Koboa kwanza kamanda. Click to expand... Umeliona hilo?!!!mkuu hakuna biashara ngumu kama ya kununua mpunga!!unaweza kuja kulia kilio ambacho, bora ushambuliwe na brigedia nzima , huwezi lia hivyo!!kwa wajuzi wa biashara hii tunajua nini hutokea pale una pokuja kuukoboa!!!