Nauza modem ya voda sh.35000 tu!!!

Nauza modem ya voda sh.35000 tu!!!

baghozed

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Posts
532
Reaction score
97
Kama unaihitaji modem ya voda ipo kwa sh 35,000 tu ni pm tu.
 
Kama unaihitaji modem ya voda ipo kwa sh 35,000 tu ni pm tu.

Modem mpya ni sh. elfu 30 iweje wewe uuze ya mkononi tena uliyoisajili kwa jina zaidi ya bei ya dukani?
 
Nasikia wiki ijayo bei iatakuwa elfu 16 wewe hiyo tunza uje uwaachie jamaa zako yawezekana za sasa feki, au umeacha kutumia mtandao sasa au una moderm nyingi zaidi
 
Bora uwaambie ndugu mana hawajui wanachokiongea
 
hiyo hiyo ya zte k 3570 inauzwa elfu 15 tu. na vocha ya elfu kumi ndio inakuwa 25000.
 
hiyo hiyo ya zte k 3570 inauzwa elfu 15 tu. na vocha ya elfu kumi ndio inakuwa 25000.
Mkuu mlimani city duka gani wanauza hizo zte 3570 kwa bei hiyo? au huku kwenye ofisi zao karibu na hall na investment bank? maana mimi nilienda mle ndani madukani zinauzwa 44,000/ na hata Ohio street kwenye ofisi zao pia wanauza 44,000/
 
Back
Top Bottom