shaks001
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 1,246
- 1,071
Kama mada inavyojieleza,ninauza mlango wa kioo na aluminium wenye ukubwa wa futi 6 kwa 7.
Bei ni laki nne na nusu(450,000/=),una hali nzuri kabisa,umetumika kwa mwaka mmoja tu.Mlango upo Dar,maeneo ya Kimara Resort.
Mawasiliano:0743251556-Ukipenda kuja kuuona karibu sana.