jonathan david
Member
- Jun 3, 2014
- 35
- 12
mimi nataka hiyo mashinehabari wana JF
nina mkaa mbadala kwa ajiri ya matumizi ya viwandani, mashureni, na majumbani,
mkaa huu natengeteza na maranda na mfinyanzi ni mzuri sana unakaa mda mref kuliko huu wa miti na pia unatumika kidogo kulinganisha na huu wa mitya kawaida, kwa mahitaji unaweza nipigia 0712756342.
tupo dar, ila naweza kutoa sample pia.
kwa gunia n tsh 37000 .... TUTUNZE MAZINGIRA TUOKOE MISITU....View attachment 937297View attachment 937298View attachment 937299View attachment 937300
Write your reply...[emoji18]Mashine inauzwa bei gani?
Naona mnataka kuniharibia biashara, mimi nauza Mkaa sio mashine.Mashine inauzwa bei gani?
Naona mnataka kuniharibia biashara, mimi nauza Mkaa sio mashine.
Naona mnataka kuniharibia biashara, mimi nauza Mkaa sio mashine.
Tembelea wauza nyama choma na chipsi,utapata soko la uhakika
Ushaona Mvuvi anauza Ndoano au Wavu badala ya Samaki?mimi nataka hiyo mashine
Dar uko Sehemu gani?sante ndugu
anajiongeza, mkaa 37000, mashine kuanzia laki 5, akiuza mashine mikoa yote ya Tanzania ni bora kuliko kuuza mkaa dar peke yakeUshaona Mvuvi anauza Ndoano au Wavu badala ya Samaki?
Pale kuna Motor ya Mchina na Bati la "SIDO" vimetumika,anajiongeza, mkaa 37000, mashine kuanzia laki 5, akiuza mashine mikoa yote ya Tanzania ni bora kuliko kuuza mkaa dar peke yake