Nina milango ya nyumba ambayo kwa ajili ya nyumba au office, inaitwa fire door, nimenunua hapa UK, ipo zanzibar, idadi yake 8
Kama upo interesting, bei 250,000 kila mmoja, ni mp niwachie number yako, next week inshallah nikifika tz tutawasiliana. Ni aina hii, size siwezi kujua.