Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,301
Unajua vitu vzr wwAwwwwww hii hapa mizurije?
Ndio nimeielewa katika yote.
Weka na bei kabisa mama...
All the best
Unajua vitu vzr wwAwwwwww hii hapa mizurije?
Ndio nimeielewa katika yote.
Weka na bei kabisa mama...
All the best
[emoji5] [emoji5] [emoji120]Unajua vitu vzr ww
Ulinisoma kule au![emoji5] [emoji5] [emoji120]
Yeap,pole sana.Ulinisoma kule au!
[emoji17] [emoji17] [emoji17]........acha hizo jamani,mimi nataka niitumie kwa mambo yetu yale buana![emoji30]Unaruhusiwa kuitumia kwa biashar tu [emoji18] [emoji18]
Aliewahi ni jamaa wa hapahapa JF mkuu?[emoji1]Mambo hayo umechelewa[emoji276] [emoji276]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mtandao wa JF si wa kutangaza vitu vichache. Umeahindwa kuwatangazia majirani wamalizieHabarin wapendwa Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nauza mikoba ya kina Dada wadada wa jf na wakaka wa jf njooni muwanunulie mawifi zangu mikoba.
Mikoba mizuri kutoka south africa jamani imebaki michache mwanamke mkoba jamani simwajua tuna mambo mengi tukitoka ya kuweka humo kwenye mikoba sas ikiwa huna inakuwaje jamani .
Ni bei rahisi jamn halafu ni mizuri yaani ukiuchukua kila mtu atataka umuelekeze duka ulilonunua jiwahie imebaki michache karibuni sana kwa mwenye kuhitaji anichek wasap kwa namb +27 60 37 25 56 7
KARIBUNI SANA DADA UKHUTY
Naomba uninunulie huo wa kwanza shem wanguAliewahi ni jamaa wa hapahapa JF mkuu?[emoji1]
Niambie kwanza yule kidume uliempata hapa JF anatumia ID gani![emoji1]Naomba uninunulie huo wa kwanza shem wangu
Anazo nyingi sanaNiambie kwanza yule kidume uliempata hapa JF anatumia ID gani![emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Anazo nyingi sana
Unaonekana una list ya couple zote za JFAliewahi ni jamaa wa hapahapa JF mkuu?[emoji1]
Niambie kwanza yule kidume uliempata hapa JF anatumia ID gani![emoji1]
Hana cha list wala nini sema nikawaida ya wanaume wa mikoani ndio walivyoUnaonekana una list ya couple zote za JF
Hahahaaaaa
Ila huwa unanifurahisha sana.