Nauza Microsoft Surface 2, Tshs 500,000/=

ligolyser

Senior Member
Joined
May 9, 2013
Posts
155
Reaction score
15
Habari wadau!

Nauza microsoft surface 2, ina 64gb internal memory, 2gb RAM, lakini unaweza kuweka memory card kama ukipenda, inatunza moto kwa siku mbili kama naangalia movie, ila inakaa na moto kwa siku tano kwa matumiz ya kawaida kama intenrnet n.k, ina keyboard ambayo ina mouse yake kwa nyuma nimeweka protector ili isichubuke.

Bei 500, 000. Haipungui.

Call: 0756 664 797
 

Attachments

  • CAM00117.jpg
    681.9 KB · Views: 89
  • CAM00118.jpg
    560.7 KB · Views: 82
  • CAM00119.jpg
    995.2 KB · Views: 81
  • CAM00123.jpg
    410.6 KB · Views: 84
  • CAM00124.jpg
    558.6 KB · Views: 75
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…