Nauza mgodi wa madini ya copper

Nauza mgodi wa madini ya copper

Puna

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
2,782
Reaction score
4,893
Wakuu nauza eneo/mgodi wenye madini ya copper.Mgodi uko Mbesa wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma.Leseni ipo na kuna takribani ekari 32.Bei ni USD 200000(LAKI MBILI)Dalali atakiwi.Unaweza nicheki 0788993076.
 
Limefanyiwa utafiti wa kujua kama hiyo copper ore ipo kiasi gani(makaridio). Nikikulipa dola laki mbili ninauhakika gani copper ore iliyopo nitaweza pata faida. Kuna utafiti wowote umeshawahi kufanywa katika hilo eneo?
 
Limefanyiwa utafiti wa kujua kama hiyo copper ore ipo kiasi gani(makaridio). Nikikulipa dola laki mbili ninauhakika gani copper ore iliyopo nitaweza pata faida. Kuna utafiti wowote umeshawahi kufanywa katika hilo eneo?

Namsubiria ajibu hili swali ili na mimi nifanye maamuzi mkuu!!
 
Limefanyiwa utafiti wa kujua kama hiyo copper ore ipo kiasi gani(makaridio). Nikikulipa dola laki mbili ninauhakika gani copper ore iliyopo nitaweza pata faida. Kuna utafiti wowote umeshawahi kufanywa katika hilo eneo?[/QUOTE


Mkuu utafiti umeshafanywa katika ilo eneo na copper ipo,ila utafiti kujua ni kiasi gani ipo ni bado,lakini kwa ufupi jirani yetu ni mwaka wa tatu sasa anachimba kwenye shimo moja.Vile vile copper inayotoka hapo ni blue copper,kuna wakati mwingine waweza toa jiwe la copper lenye rangi ya njano,kijani na blue katika jiwe moja.Pia ninakushauri kabla ujafanya maamuzi ni vyema kufika kwenye ilo eneo au waweza mtumia hata mtaalamu wa madini akaja fanya survey,hii itakuondolea wasi wasi wa kutapeliwa.Pia waweza kuuliza watu wa semic kule kunduchi watakueleza thamani na habari yote ya hii copper ya Tunduru na thamani yake kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom