thefreedot
Senior Member
- May 21, 2015
- 135
- 25
- Thread starter
- #21
Ndani ya siku 3 mpaka 5 za kazi anakuwa kesha pata mzigo wake kutoka nje kupitia DHL....!
Wakuu hapo nimeandika story zipo kimtindo...kama unahitaji nicheki...! Mi nauza moja moja na si jumla ndo maana...!
Hakuna anae kufosi huitaji endelea na mambo yako...! Bei na maelezo ndo hayo...!
Ntakie radhi kioo wewe ni mdogo kwangu...tafadhali...!!
Jamani, kabla ya kuweka vitu hapa muwe mnajaribu ku-search angalau.
Yupo member humu anauza 16GB kwa 22000 tu. Anakuletea ulipo kwa Dar.
Nilinunua mwaka juzi 2014 Nov mpaka leo inapiga kazi haijasumbua bado iko poa kabisa.
Hiyo still ipo juu sana, bei ya jumla itakata hapo. Yaani max iwe elfu 3 au 2500, hapo tunaweza tukazungumza biashara4000 tuu
Hiyo still ipo juu sana, bei ya jumla itakata hapo. Yaani max iwe elfu 3 au 2500, hapo tunaweza tukazungumza biashara
Memory Card ya GB 4 - Tsh. 10,000 ya Gb 8 Tsh. 25,000 na Gb 16 - Tsh. 35,000
Selfie Stick - Tsh. 30,000 (story zipo kimtindo).
CONTACTS:
Mobile: 0655-659-115, 0624132227
Whatsapp: 0769-663-092
Memory Card ya GB 4 - Tsh. 10,000 ya Gb 8 Tsh. 25,000 na Gb 16 - Tsh. 35,000
Selfie Stick - Tsh. 30,000 (story zipo kimtindo).
CONTACTS:
Mobile: 0655-659-115, 0624132227
Whatsapp: 0769-663-092
Aisee naomba contacts za huyu bwana, tafadhali.
Pitia hiyo image hapo juu jamaa anaitwa mtengwa ni authorised dealer aliyethibitishwa na JF.
Au pita hapa
ofa ofa ofa hdd, flash na sd card
KARIBUNI JF.