Nauza Memory Kadi Na Selfie Stick...Bei Poa...!

Nauza Memory Kadi Na Selfie Stick...Bei Poa...!

thefreedot

Senior Member
Joined
May 21, 2015
Posts
135
Reaction score
25
Memory Card ya GB 4 - Tsh. 10,000 ya Gb 8 Tsh. 25,000 na Gb 16 - Tsh. 35,000
Selfie Stick - Tsh. 30,000 (story zipo kimtindo).

CONTACTS:
Mobile: 0655-659-115, 0624132227
Whatsapp: 0769-663-092
 
Mhhh!, mie nachukuaga memory 4GB kwa shilingi elfu 5 tu (5,000/=). Kwani wewe unapatikana wapi? memory zako ni original? kwanini unauza hiyo bei?
 
Ni original na nakupa waranti ya miezi miwili...!
 
mi nipo mikocheni b huku karibia na itv...!
CONTACTS:
Mobile: 0655-659-115, 0624132227
Whatsapp: 0769-663-092
 
Memory Card ya GB 4 - Tsh. 10,000 ya Gb 8 Tsh. 25,000 na Gb 16 - Tsh. 35,000
Selfie Stick - Tsh. 30,000 (story zipo kimtindo).

CONTACTS:
Mobile: 0655-659-115, 0624132227
Whatsapp: 0769-663-092

Jamani, kabla ya kuweka vitu hapa muwe mnajaribu ku-search angalau.

Yupo member humu anauza 16GB kwa 22000 tu. Anakuletea ulipo kwa Dar.

Nilinunua mwaka juzi 2014 Nov mpaka leo inapiga kazi haijasumbua bado iko poa kabisa.
 
Hakuna anae kufosi huitaji endelea na mambo yako...! Bei na maelezo ndo hayo...!
 
Hakuna anae kufosi huitaji endelea na mambo yako...! Bei na maelezo ndo hayo...!

Hatusemi unatu-force ila this is JF sio bookface hapa.

Wapelekeeni huko kwa bei hizo lakini sio JAMIIFORUMS ndugu hafosiwi mtu ila unaelezwa ukweli kama ni mgeni ndio uelewe sio.

This is JF sio bookface sio.

Alaaa...!

[emoji34]
 
Hakuna anae kufosi huitaji endelea na mambo yako...! Bei na maelezo ndo hayo...!

Halaf pia, nikueleweshe kitu kingine ni kwamba hata jukwaa uliloweka sio la hivi vitu ulivyoweka.

Ulipaswa kupeleka hii kitu yako jukwaa la matangazo madogo madogo sio Science & Technology Forum tujadili nini sasa hapo.

Unajaribu kuelekezwa njia tu wala usiwe mkali jombaa.

Karibu sana.
 
Mchongo ndo huo HAPO MBWAGO KUTOKA MAREKANI ndani ya JF....! KWA MTU ANAEHITAJI KARIBU Sana (story zipo kimtindo)...!
 
PLEASE DO NOT MIND THE COMMENTS...ALL THE ABOVE PRODUCTS ARE NEGOTIABLE...! YOUR WELCOME...!
 
Memory Card ya GB 4 - Tsh. 10,000 ya Gb 8 Tsh. 25,000 na Gb 16 - Tsh. 35,000
Selfie Stick - Tsh. 30,000 (story zipo kimtindo).

CONTACTS:
Mobile: 0655-659-115, 0624132227
Whatsapp: 0769-663-092
Mie nilinunua memory card ya gb 8 kwa sh. 10,000/= Na nimeitumia kwa miezi 8 sasa na iko full ikiwa salama kabisa. Bei zako zako zipo juu mno, au ni za kampuni ya Apple mkuu!..
 
Mhhh!, mie nachukuaga memory 4GB kwa shilingi elfu 5 tu (5,000/=). Kwani wewe unapatikana wapi? memory zako ni original? kwanini unauza hiyo bei?
Na ww unanunua ghali. Nione nikupe kitu cha jumla juanzia 100pcs
 
Hizi bei ndio bei poa? Au ndio tunalipia kodi Mara Sita Sita shusha bei basi Halafu ndio uweke heading ya bei poa mleta uzi Halafu punguza ukali kidogo hali ngumu na huku nje
 
Wakuu hapo nimeandika story zipo kimtindo...kama unahitaji nicheki...! Mi nauza moja moja na si jumla ndo maana...!
 
Anaehitaji kwa jumla namuagizia kama yupo tiyari...si memory tu bali bidhaa za aina tofauti tofauti kutokana na uhitaji wako...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom