Nauza mchele wa grade kwa kilo sh 1700/ ninao mwingi sana hata tone zaidi ya hamsini utapata.ukichukua mwingi punguzo lipo nipo Dar kwa mawasiliano 0718219523
O="samwel mdodo, post: 30983741, member: 284290"]
ndo mchele gani huo wa grade?
[/QUOTE]
Ni mchele uliochambuliwa na kutolewa chenga. Kwa ufupi ni mchele usiokuwa na chenga au una chenga kwa asilimia ndogo sana.