Nauza mbwa kwa ulinzi shirikishi

Nauza mbwa kwa ulinzi shirikishi

Bassanda

Member
Joined
May 14, 2009
Posts
53
Reaction score
3
Hawa ni local breed kutoka mkoa mpya wa Simiyu (MHUGE).

Ni wakali balaa na wana speed kuliko (kiboko ya vibaka).

Kama unavyowaona wameshaanza kujisevia msosi - Multifeeds Power DOG.

D.O.B. 10th October 2014.


2014-11-15 Simiyu_1.jpg

2014-11-15 Simiyu_2.jpg
 
Back
Top Bottom