Pamoja mkuu.Mbuzi mnyama wadau
Hehehehe aisee.!!!!Za kukunia nazi mkuu au mbuzi meee?
Una Mbuzi inayokwangua Nazi sita kwa wakati mmoja .. ? .Habari zenu wana,
Ninao mbuzi kwa yeyote atakaehitaji bei ni maelewano namba yangu 0682540989 napatikana Tankibovu ila bidhaa naihifadhi mapinga kwa ajili ya malisho na matunzo mengine.
Karibuni sana
hahaha better u...unajua jokesHiyo sina ati