Nauza MAYAI ya kuku wa kisasa.

Nauza MAYAI ya kuku wa kisasa.

Roby G

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2014
Posts
619
Reaction score
656
Nauza tray moja kwa sh. 6500 bei ya jumla naitaj mteja anaeweza kuchukua tray 140 kwa kila week ntamletea pesa cash ntamletea had nyumbani kwake mteja awe yupo dar au kibaha kama wewe ni mfanyabiashara bei ya dar ni sh. 7000 had 7500 hivyo faida ipo usafir ni juu yangu ukitaka kuyaona naweza kukuletea uone uridhike kwanza ndipo tufanye makubaliono 0716 359555.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom