Nauza mayai mawili ya bundi

Chui mnyama

Member
Joined
Apr 2, 2017
Posts
69
Reaction score
34
Habari wanajamii forum popote mlipo. Waswahili wanamsemo wao usemao asiyejua maana haambiwi maana nauza mayai mawili ya bundi yote kwa tsh milioni tano (tsh 5000,000) kwa anayehitaji tuwasiliane in box. Karibuni sana.
 
biashara ya kuuza raw material sio nzuri.
 
Kabla sijafika bei niambie namna unavyo yatunza japo kwa siku3 mfululizo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…