GREAT THINKERS!
Salaam!
Naheshimu sana uwezo mkubwa wa member wa JF katika kudadisi na kuchambua mambo kwa upana wake, watu wanaowaza nje ya box.
kwangu JF ni shule kamili
Acha niende kwenye maada..
namshukuru Mungu sana kwa uwezo alionipa, wa kuunda mawazo bunifu yanayoweza kusaidia nchi na dunia kwa ujumla...
Unaweza kununua wazo kwangu ama kunipa share..
MAWAZO BUNIFU
1. KILIMO
Asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima, lakini hawalimi kisasa kwa kukosa muda na usimamizi mzuri kutokana na kazi zao za kila siku yani ajira...
hivyo basi unda APPLICATION/WEBSITE Inayitwa KILIMO KWANZA.. mtu afUngue account yake aingie category/kipengele labda cha KILIMO CHA MPUNGA, achague ukubwa wa eneo kisha ataona gharama zote za kulima heka moja ya mpunga hadi ikamilike. Kwa kutumia kikokotozi kilichopangwa.
then anaweka pesa kwenye account yake(cqsh au kidogo kidogo) mashamba yote yanalimwa kwa usimamizi wa KILIMO KWANZA nikimaanisha mmiliki wake.
wakati wa mavuno mmiliki wa kilimo kwanza na mteja/ mkulima mnagawana asilimia ya mazao au pesa kulingana na utaratibu......
nisiwachoshe ukipenda wazo kwa upana wake na jinsi ya kulitekeleza njoo DM au Call 0693 354479
2: LIVE STREAMING
watu wengi wameanzisha online TV bila kua na maudhui au ubunifu. nikapata wazo la kua na youtube chanel isiyofungamana na upande wowote maalum kwa tukio lolote linalohitaji kwenda live. iwe mkutano, kipindi cha radio, mazungumzo binafsi, hii ni fursa kubwa kuwekeza katika kipengele hiki pekee nakukaribisha sana.
ukipenda wazo kwa upana wake na jinsi ya kulitekeleza njoo DM au Call 0693 354479
3: MOBILE STUDIO
Hii nazingumzia sound recorder .. ubora wa sauti umekua ni moja kati ya vitu vya kuangalia sana ni biashara kubwa.. na si kila mtu anamda wa kwenda studio hizi zilizojaa wasanii, ambao mara nyingi hua na lugha zao ambazo si rafiki kwa baadhi ya watu.
hivyo unda chumba au kibanda cha kisasa kinachoweza kutosha mtu mmoja unachoweza kukikunja, ili kupata urahisi wa kuamishika funga system ya kukaa sound card na mic then jitangaze uone kama hautatafutwa na watu wengi wenye kutaka kusimulia stori zao wafanyabiashara nk.
ukipenda wazo kwa upana wake na jinsi ya kulitekeleza njoo DM au Call 0693 354479
4: UTALII KWA WATOTO
Achana na watu wazima kwa sasa wekeza kwenye utalii wa ndani kwa watoto. matunda yake utayaona ni makubwa mno.
ukipenda wazo kwa upana wake na jinsi ya kulitekeleza njoo DM au Call 0693 354479
5: EVENTS
Wekeza kwenye shughuli zote za sherehe ukiwa kama MC, au MPAMBAJI, au MPIGA PICHA (wazo hili ni pana sana)
ukipenda wazo kwa upana wake na jinsi ya kulitekeleza njoo DM au Call 0693 354479
najua watu hawapendi mtu anaeandika sana acha niishie hapa.. kwa mawazo zaidi njoo DM.
- Maisha
- Biashara
- Siasa
Na kwa upande wa fani yangu Graphics Designer Call me CREATOR