Nauza Mashuka ya mtumba toka Oman

Nauza Mashuka ya mtumba toka Oman

hpn kuna baadhi ya vitu nataka nikupe mwenyewe nataka tukacheki na viatu pale @ frank knowles .kinondoni c una cjua ckukuu
Mimi nataka shuka tu boss, nilijazoea kutembea peku mie
 
Mteja hawezi kashfu biashara na akanunua, nteja anauliza ubora wa bidhaa na bei
 
Hivi mtumba ina shida gani?? Mbona mkienda kulala mahotelini mna kutana na hizo mtumba kwenye vitanda, na zime jambiwa vya kutosha tu, hamsemi kitu... au kwa sababu zimejambiwa ns waswahili wenzenu ndio maana... watanzania tumezidi sana kwa kuteteana aise... kuanzia uwizi mpaka kwenye mashuka zilizo jam-----... mmalizie wenyewe....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom