Nauza Mashuka ya mtumba toka Oman

Nauza Mashuka ya mtumba toka Oman

kyannala nabiso

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
645
Reaction score
143
Wapendwa karibuni Mashuka ya mtumba toka Omani kwa bei poa kabisa Mashuka yana uwezo wa kutandika kitanda cha 8 kwa 10 nimazito cotton %100 bei 30,000/= ukichukua mawili bei inapungua kidogo karibuni sana
IMG-20181218-WA0008.jpg
IMG-20181218-WA0006.jpg
IMG_20181218_165106.jpg
IMG_20181219_174920.jpg
IMG_20181219_181724.jpg
 
Acheni zarau mtumba wa Oman??

Yani kijambo cha muarabu?? No way

Hao si ndo wale wanawatesafa mabeki 3 wa kibongo wanaoenda kule??

Takbiiir
Unaakili timam wewe unavyoambiwa mtumba kwa akili yako ndogo unajua ni mtumba uliotumika?
 
Mazuriii hili nimelielewa sana[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
tapatalk_1545505160497.jpeg

Ngoja nitafute hela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom