Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Alright,Wateja wanafanana na wewe, na nisiuze kwani ni Mara ya kwanza? After all haya kuhusu kuwa nitauza.
Biashara njema
Alright,Wateja wanafanana na wewe, na nisiuze kwani ni Mara ya kwanza? After all haya kuhusu kuwa nitauza.
Nulipie jamani..ngoja nikulipie my
shida ndio zimempelekakibongo wanaoenda kule??
Nulipie jamani..
Wateja wanafanana na wewe, na nisiuze kwani ni Mara ya kwanza? After all haya kuhusu kuwa nitauza.
Punguza munkari, you should learn costomer behaviour ukiona mtu anazingua mpotezee ila kitendo cha kuanza kijibizana nae inaweza kumtisha hata yule potential customer, mteja ni mfalme hakuna mfanyabiashara yeyote duniani anaweza kutumia lugha ngumu kwa wateja kama unavyofanya wewe, huu ni ushauri tu nisamehe kama hauta kufurahisha.
Ni nini?Umeshindwa jua jinsi ya kuzipromote,
Nazijua hizi chuka,
Sio mtumba!!
tuliza panic mr.Biznezman,jifunze kuvumilia tabia za wateja....jibu swali langu kwa nini ninunue mtumba wa mwarabu na kuacha mtumba wa mzungu? nishawishi that is how biznez is.Unamuuliza nani jiulize mwenyewe na ujijibu
Acheni zarau mtumba wa Oman??
Yani kijambo cha muarabu coco?? No way
Hao si ndo wale wanawatesaga mabeki 3 wa kibongo wanaoenda kule??
Takbiiir
Chuki na Uislam??? Ukimaanisha mm mkristo eti?tatizo lako una chuki na uislam.
Cha ajabu uislam Hauna habari na wewe
Mkuu unamuuliza maswali heavyweight wakati unajua huyo ni lighweight...lengo lako ummalize kibiashara kabisa ama?tuliza panic mr.Biznezman,jifunze kuvumilia tabia za wateja....jibu swali langu kwa nini ninunue mtumba wa mwarabu na kuacha mtumba wa mzungu? nishawishi that is how biznez is.
We ndo unaijambia biashara yake sasa kwa kutema pumba.Mwanaume unapoamua kwa maksudi kutaka kuharibu biashara ya mwanamke aliyeamua kujitafutia kihalali inafanya sisi wanaume halisi tushindwe kukuelewa wew ni mwanaume wa aina gani aisee. Inaudhi sana na ni utoto unaoufanya.
Huwez kununua pita kmya kimya wengine watanunua sio kutia nuksi, badilika
😁😁😁 mtumba wa Kiarabu sijui unakuaje daah,nataka nikauoneMkuu unamuuliza maswali heavyweight wakati unajua huyo ni lighweight...lengo lako ummalize kibiashara kabisa ama?
Ila haimake Sense kabisa yani wakati mitumba ya wazungu inapigwa vita......hawa wanaleta mitumba ya waarabu coco??
Like seriously, kama wa mzungu unapigwa vita wa waarabu utafanywa nn
Sio kweli...comment yako ya kwanza kabisa umeanza kwa kutoa shit! Mambo ya kijambo cha kiarabu mara mtumba kutoka kwa waarabu coco...yote ayo ya nin....mteja wa kweli anauliza bei na matirio tu...ayo mengine ni upuuzi tu unakusumbuaWe ndo unaijambia biashara yake sasa kwa kutema pumba.
Kama unasema mm naharibu basi wadau wengi wameharibu pia maana anaulizwa maswali anapanic anaambiwa atoe sababu nzuri kwanini mtu anunue mtumba wenye kijambo cha mwarabu badala ya Mzungu anakuja juu.
Tena swali obvious sana ilo.
Then u blame me? For what??
KSio kweli...comment yako ya kwanza kabisa umeanza kwa kutoa shit! Mambo ya kijambo cha kiarabu mara mtumba kutoka kwa waarabu coco...yote ayo ya nin....mteja wa kweli anauliza bei na matirio tu...ayo mengine ni upuuzi tu unakusumbua
Tahira mwenye fala wewe unawashwa nini kwenye trd isiyokuhusu. Unaishi kwakukalili eti? Unaonekana tahira zaidi fala wewe
Boss nilipie kwa muuzaji mimi nitaenda kuchukua shukaucjali nimpe no ya tgo pesa pm