Nauza majiko

muuza majiko

New Member
Aug 9, 2022
4
2
Habari ya muda huu wakuu. Nauza majiko ya MKAA, flampeni, jalo, naziba masufuria na kutengeneza, pia makalai ya chipsi ndugu.

Jumla Kwa wafanyabiasahar na rejareja pia. Naweza pia kufanya deliver Kwa nauli yako (kiasi cha alfu 2 ndani ya daresalaam). Majiko natengeneza mwenyewe Kwa teknolojia ya nyumbani.

BEI ni Elfu 12, 16, ef 10 kutegemea na ukubwa. Napatikana SIDO TEMEKE Kwa mawasiliano piga 0653261044

IMG_20211219_110826.jpg

IMG_20211219_110810.jpg
 

Attachments

  • Z(2).jpg
    Z(2).jpg
    4.2 KB · Views: 9
  • 9k=(1).jpg
    9k=(1).jpg
    4.6 KB · Views: 7
Mm nataka lile la gas,nataka kukaangia chips plate moja namba yangu 0715 378899
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom