TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,286
Kwa bei hiyo ungeendelea kusubiri maaana wenzio wanauza shil.300 mpaka 350 kwa kg tena wanayabeba mpaka sokoniWakuu habari zenu?....kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ninamahindi tani 20 ambazo ni magunia 200 ya 100kg @.
Napatikana manundu korogwe kwa mwenye kuhitaji twaweza wasiliana pm au sim no.0621014069
Bei ni sh.500 kwa kilo 1
Ila kama unafanya udalali ujue kbsa utamkwamisha mwenye mzigo wake
ukifanikiwa sana kumpata boya kwasasa utauza kwa sh 400Mzigo ni wakwangu mkuu ngoja nisubirie mwezi wa pili wenda kikaeleweka
Hahahah mkuu kweli mambo yanabadilika, pia ungejaribu soko la nje mfano hapo Tanga si mbali na kenya ungeweza uza kwa bei yenye faida kidogo.Kweli mambo yamebadilika kwa mwendo huu mwakani silimi tena *****
Hahahah mkuu kweli mambo yanabadilika, pia ungejaribu soko la nje mfano hapo Tanga si mbali na kenya ungeweza uza kwa bei yenye faida kidogo.
Kwa bei hiyo ungeendelea kusubiri maaana wenzio wanauza shil.300 mpaka 350 kwa kg tena wanayabeba mpaka sokoni
Wapi wanauza kwa bei hiyo??ukifanikiwa sana kumpata boya kwasasa utauza kwa sh 400
Lkn mwez Wa pili nahisi yanawez kuwa bei ndogo zaid, kwan huo muda mahindi mengi yatakuw tyr yameshaanza kuiva/kukomaaaMzigo ni wakwangu mkuu ngoja nisubirie mwezi wa pili wenda kikaeleweka
Lkn mwez Wa pili nahisi yanawez kuwa bei ndogo zaid, kwan huo muda mahindi mengi yatakuw tyr yameshaanza kuiva/kukomaaa
Hapo lazima ukubali kushirikisha madalali tu huna namna, siku ukiwa off funga safari mpaka tanga mjini, ongea na madalali vizuri utauza hata kwa tsh 450 per kg wana network kubwa sana madalali huwezi kosa mteja labda mshindwane bei tu.Nikweli mkuu ila mie ni mtumishi muda wakutoka tutafuta masoko nimtihani kwangu ngoja tu niendelee kuvuta subra
Haswa.Lkn mwez Wa pili nahisi yanawez kuwa bei ndogo zaid, kwan huo muda mahindi mengi yatakuw tyr yameshaanza kuiva/kukomaaa
Haswa.
Nasubiri Jibu la Swali hili..,Wapi wanauza kwa bei hiyo??
Mkuu kwani kwa hapo Korogwe Wanunuzi bei yao ipoje?Mzigo ni wakwangu mkuu ngoja nisubirie mwezi wa pili wenda kikaeleweka
Asee akitusaidia itakuwa vizuri sanaMkuu kwani kwa hapo Korogwe Wanunuzi bei yao ipoje?
Mkuu kwani kwa hapo Korogwe Wanunuzi bei yao ipoje?