Nauza mahindi kwa sh 55,000 (gunia)

Nauza mahindi kwa sh 55,000 (gunia)

8500 mara 6 ni elfu 51

Sasa inakuwaje bei iwe 55,000?

Hii elfu 4 unatupiga dili?
Sikuzote huwa na wasafirishia wateja wangu bure cjawai wa chaji gharama ya usafiri.(hiyo 4000 inafidia transpot).
8500 kwa debe ni ofa njoo DSm zunguka kama unaweza pata KWA bei hii nitakupa 100k kama zawadi.
Lastly: acha unafki nigger u keep complaining while you have nothing to offer.
#phuck
 
Asilimia kubwa ya wanaokashifu hawajahi kununua hata kibiriti kwao maana wanakuta chakula kipo mezani wao Ni kupakua tu

Ndio vijana wenyewe hao hata nguvu hawana
 
Asilimia kubwa ya wanaokashifu hawajahi kununua hata kibiriti kwao maana wanakuta chakula kipo mezani wao Ni kupakua tu

Ndio vijana wenyewe hao hata nguvu hawana
Wachawi wapo kila idara.
 
Sina lengo lakuvuruga biashara,ila watu muwe na tahadhari kilosa ni kitovu cha matapeli.
 
Nauza mashine ya kufulia nguo Drycleaner
Ni used from korea aijawahi kutumika bongo
Inafua na kukausha
Inafua ujazo wa kg9.5
Price tsh 450000
0684527852
 
Tuelewane kidogo hapa.
Nyie mnao ni pm kutaka niwatumie mzigo ndo mlipe tafadhalini huu sio utaratibu wangu wa kufanyakazi. Nilishawahi safirisha mzigo na ulipofika KWA mteja alitaka kunikopa nikajikuta naingia gharama zingine tena za kurudisha mzigo store.
Kama upo serious situmi mzigo pasipo pesa kulipwa, ninaofanya nao biashara wanajua huu utaratibu wangu. Ukihitaji taarifa zangu naweza kukupa whatsapp na hata kuonana live hapa Dsm.
 
Sina lengo lakuvuruga biashara,ila watu muwe na tahadhari kilosa ni kitovu cha matapeli.
Mkuu nipo Dsm mbezi.
Kilosa kuna mashamba yetu ya familia.
Alafu hizi unazoleta si tabia nzur si uungwana huu. Napambana usiku na mchana KWA kila namna kutafuta wateja hii ni shughuli yangu inayobeba maisha ya watu wengi. Kuna vijana shambani wategemea niuze nao wapate, familia, ndugu etc.
Acha hizo.
 
Nauza mahindi KWA sh 55,000 (gunia)

Debe la mahindi utapata KWA 8500

Kila jumamosi mzigo unaingia wote mnakaribishwa.

Bei ya debe la mahindi KWA Dsm ni kuanzia 10k.

Ila ofa hii ipo KWA kipindi hiki cha Ramadhani baada ya hapo haitokuwepo tena wahi sasa KWA 8500 tu.

Karibuni
Afadhali yenu.
Sisi gunia ni 24 hadi 30
 
Mkuu nipo Dsm mbezi.
Kilosa kuna mashamba yetu ya familia.
Alafu hizi unazoleta si tabia nzur si uungwana huu. Napambana usiku na mchana KWA kila namna kutafuta wateja hii ni shughuli yangu inayobeba maisha ya watu wengi. Kuna vijana shambani wategemea niuze nao wapate, familia, ndugu etc.
Acha hizo.
Nimetapeliwa kilosa mara mbili kwenye nafaka,
Mara ya kwanza nilitapeliwa na mtu niliefahamiana nae kupitia brother yangu,mtu huyu alikuwa mwenyeji wa kilosa Kijiji wanaita madudumizi,alinitapeli na badae nilipata taarifa kwa wenyeji kwamba mtu huyu ni tapeli.Tulifikishana ofisi ya kijiji nikabahatika kuokoa kiasi cha pesa lakini kingine kilipotea,

Mara ya pili nilitapeliwa Kijiji wanaita ludewa,hapa ilinilazimu nifike kituo cha polisi Kimamba,pale kituoni ndipo nilielezwa na maaskari kwamba kilosa kumejaa matapeli na walinitaka niwe mjumbe kwa wengine kwamba kwa record walizonazo nazo pale polisi kilosa kuna utapeli wakutisha

Pale kituoni kimamba nilikuta report nyingi Sana za utapeli kiasi ambacho sikuendelea na kufuatilia pesa yangu,matapeli wanajulikana lakini polisi walinieleza wamejitahidi Sana kuwakamata lakini huwa wanapewa amri kutoka juu wawaachie hivyo wao wamekata tamaa hawahangaiki nao.

Kama wewe si tapeli utanisamehe lakini Mimi nimetimiza wajibu wangu kuwatahadharisha watu kwa mambo yalionikuta mimi mwenyewe,

Nasisitiza:
Kilosa sio sehemu salama kunautapeli wakutisha.
 
We mshamba me mwenyw nilikuwa mbishi kama wewe mwaka juzi nikiwa Ifakara nilikutana na debe zinazoingiza kilo 23-25 za Mchele ckuamini nilichokiona na ubishi wa kichoko nikaacha pale pale
😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom