Nauza magari haya


mkuu this business,mwenzako kaanzisha thread we unakuja kumuharibia na kupost utumbo wako,kwanini usianzishe uzi wako,watu wengine mnakela sana
 
mkuu this business,mwenzako kaanzisha thread we unakuja kumuharibia na kupost utumbo wako,kwanini usianzishe uzi wako,watu wengine mnakela sana
NIGGA unajua unadandia treni kwa mbele?
kwa nini usianzie mwanzo ukajua KISA ni wapi tulipomzuia asitangaze Biashara yake, au ni mtu mmoja unakuja kwa ID tofauti tu, maana badala ya kuwaelimisha wenzenu nao wapate magari (mf NOAH) kwa bei nzuri mnawaficha
Nimesema kila ukurasa wa JF juu kadisa kuna link za Magari km na wewe unalo weka.
Post zote za walikashifiwa kuwa hawajuai biashara ya magari zimewekwa humu, wewe na unaanza na ukurasa wa mwisho.
Ni nani aliyeanza matusi? sisi hatujatukana na wala JF hakuna biashara ya matusi, km mnakuja kwa ID nyingi hiyo biashara ilishachacha
Wako waliogundua kosa na mm nawaunga mkono km
Angalia post hizi hawa ni wakongwe wa miaka mingi hapa JF, huwezi leta leo kitu kipya kwa kujiunga mwaka huu wakati tulishakijadili, hakikuhusu pita na mm napita lkn kashfa ndio tunarudi
 
Last edited by a moderator:
mkuu this business,mwenzako kaanzisha thread we unakuja kumuharibia na kupost utumbo wako,kwanini usianzishe uzi wako,watu wengine mnakela sana
Baba yangu ninyi NIGGA mnapewa Link za magari yanakopatikana mnaanza kuwashambulia waliowatangulia hivi kuna ubaya gani kumuelekeza mwana jamvi mwenzako kuwa kuwagiza gari kwa mtandao ni hivi .......................
wewe unambandika tu kuwa Noah ni sh 15m kumbe ni chini ya 10m
ukiambiwa unakuja na matusi
mm nina Noah nimeagiza Port ya Mombasa na Noah zote hapa arusha hazifiki 10m labda mgeni
km Biashara tangazeni kitu kizuri na kibaya acheni kijitembeze chenyewe mbona wenzenu wa Jukwaa la Techno & Gadget hawako km huku mnakolazimisha
Mpaka mwaka ukiisha gari zitapatika katika Yard za DSM kutoka Japan sikumbuki link gani lakini ni Japanese Used Car na naomba uzi huu ufike huko Disemba
 
Last edited by a moderator:
Lazima tushtuane kwa nini tuibiane wakati Matangazo yapo kila mahali hata juu kabisa
Shosti naoana unazungumzia magari ya Be Forward k sikosei ndio ya Japanese Used Car

Msinishobokee na mm ila nachotaka kuwaeleza kuwa magari sasa yameshuka thamani.
Link zao hizi hapa https://www.facebook.com/pages/Be-F...100001&utm_content=facebook&utm_campaign=Xmas
BE FORWARD http://www.beforward.jp/toyota/noah/...1&inspection=1
Na yanapatikana DSM kwenye matawi yao hao ma-Argent na kina Tanzania Directory for Business, Entertainment & Travel Info na wengineo
walivyosema kina Ukwaju secret KakaKiiza na wengineo ni sahihii kabisa huwezi kuagiza Dar ukajiona mjanja mm nipo Arusha nauza pia toka Nairobi na Noah ipo chini ya 10m
 
Last edited by a moderator:
Binti Kadogoo,umesema jambo zuri.
Lakini ukikuta glass duka fulani mtu anauza kwa shg 10, mtu mwingine anauza kwa shg 12,si unamshauri uliyekuta anataka kununua kuwa linganisha na duka lile pale, wanaziuza hizo kwa shg 5,ila sijui kama kudumu,zimetumika vipi au zote hazina matatizo-hayo fanya uchunguzi wewe mwenyewe. Kuna ujanja mwingi kwenye magari,kuna ambayo ni accidented and repainted, lakini la maana ni kumuacha mtu afanye biz na kuwasaidia wanaotaka kununua kuwaonyesha kama kuna sehemu ya kulinganisha.
Unaweza kununua kitu kumbe kimeibiwa huko kilipotoka au unaweza kununua kitu kwa bei kubwa kumbe sababu ni kuwa muuzaji hakuweza ku bargain kwenye ushuru etc.Hata bei za sanda zinatofautiana sana.
Mungu ajalie kila mtu awe na gari-X-mas inakuja.@
 
TZX2012 Jamaa yangu umetoa ushauri wa kweli kabisa, yaani hata ukimkuta jamaa anachomolewa pesa mfukoni (wizi wa finger) eti unyamaze
HUMU NDANI TUNETUKANA eti tunyamaze tusiwaoneshe watu hizo link na magari ya bei nafuu kwa sababu tu watu wapo kibiashara tunachotakiwa tufungue thread zetu (kumbe ni wizi mtupu Noah haifiki 10m)
Binti Kadogoo nakushukuru kwa kutufumbua kuwa Be Forward wametangaza zawadi ya X-mas gari 25 sasa hawa wauzaji wa mitaani mwaka 2014 sijui watauza nini naona watafute biashara ingine
MY TAKE
Humu JF tusaidiane hata kuelekezana wapi kuna ulaji, utajiri hata vitu nafuu kuliko kuumizana km tupo Facebook wanakoshinda kutukanana Udaku na kuibiana
 
Last edited by a moderator:

kaka wewe ni division five ya mwaka jana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…