Nauza magari haya

Mkuu pole kwa kujibu challenges.ila ki biashara nenda taratibu hapa kuna watu wenye std 1 mpaka magwiji. Wote ni wateja,wengine si wateja,lakini wote wanayouliza yana busara. KWA KIFUPI MTU AKISEMA NAUZA PEN YA BIC KWA SHG 10. NI BORA KUNYAMAZA AU WEWE KUANZISHA THREAD YAKO UKASEMA NAUZA BIC KWA SHG1 KWA SABABU; 1)Tanzania na dunia nzima kuna magari ya wizi au mtu wamemuuwa etc,haswa kwa mikoa fulani hapa TZ. 2)Magari kutofautiana bei si wizi,kuna gari za Km 1M kuna za KM 1,000. Je bei itakuwa sawa/ 3)Kuna magari yamepitishwa Bagamoyo mengine yamepitishwa DSM 4)Kuna magari yamebadilishwa engine mara 10 5)Kuna magari yanatafutiwa yadondokee wapi. 6)Kumshinda mtu kwa bei,si suala la kumuita mwizi.Kitu ni chake,ni bora kutoa ushauri bila kuitana majina. Trade car view wengine wengi wanafanikiwa wengine washamba kama mimi nililiwa. Bora kusema mimi ninalao hil hilo kwa bei hii. Mungu awajalie.
 
Hiyo nyeus ya kwanza kwenye foleni ni bei gan? Na aina gani?
 
Hii inaitwaje na unauzaje mkuu??Na upande wa spare zinapatikanaa lakini??
 

Kaka kiukweli unaboa sio siri hata ningekua mimi ningekutukana yani upo so childish ....wewe kama unauza gari anzisha thread yako acha watu wafanye biashara ....we braza ni limbukeni umekera sana ...watu wanajitafutia mkate we unaleta ukuda mbona kuna magari hata ya 5M mjini hapa acha hizo acha kabsa ujuaji....
 
Hii inaitwaje na unauzaje mkuu??Na upande wa spare zinapatikanaa lakini??

kaka, hii ni TOYOTA WILL VS, NI VERY COMMON KWA SASA SPARE ZIPO NYINGI SANA, NAANZIA 12M MKUU MAONGEZI NAKUKARIBISHA
 
mkuu nimekuuliza swali naona hujajibu au umeshiba hela tayari??

Sent from my blackberry 9800 using jamiiforums
niwie radhi mkuu, nilikuwa safarin network kimeo, but nmeshajibu
 
niwie radhi mkuu, nilikuwa safarin network kimeo, but nmeshajibu

Nashukuru sana mkuu wangu na asante sana. nitakutafuta

kaka, hii ni TOYOTA WILL VS, NI VERY COMMON KWA SASA SPARE ZIPO NYINGI SANA, NAANZIA 12M MKUU MAONGEZI NAKUKARIBISHA

Asante sanaa mkuu wangu, wacha nijiweke vizuri nitakucheck tu, na ni ya mwaka gani hii?
 
Wewe ndio Bwabwa kabisa nani kakwambia ujibu si ungepita tu tu!!
Hapa JF hulazimishwi sona Privacy Policy
Pili hujui kwanini nilimjibu
huyo hapa hakuna Mjuaji km una biashara weka lakini majibu yako ndio yatatufanya tukukosoe tena bila matusi licha ya mimi kajibiwa na wengi tu kuwa gari hizo zipo kwa bei ya chini,
JF kwenye Desktop wametangaza magari USED ya Kijapani unashindwa nini kuwaambia wenzako wa BOFYE mnakuja na uongo wa kale eti ni mipasho
Miaka hii magari sio biashara ya kuwadanganya watu tena labda mje na Biashara ya Matusi ndio mtauza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…