Nauza magari haya

Ndugu USENGWILE hapa umechemsha wana JF wamekupa za uso. huo wizi ukafanye huko huko kwa walugaluga wenzio unataka kupiga faida ya million 5 bila jasho hata kama ni DEI WAKA hapo umepitiliza
 
mkuu ni vyema kujua model na specifications zinazopatikana kwenye gari ndio ujibu,

hii ni 2001 model, gear fupi
SR 40,

ninayo nyingine ya 10million kesho ntatupia picha zake

Ni mpya au ngarangara?
 

Mkuu this is free market unajua yard ni sh ngapi? Na hapo utakuta tairi zishabadilishwa na' vitu vingine
 
Mkuu asante sana maana jamaa anaona watu wapuuzi wa maisha kama yeye Noah hata 9m unapata wastani ni m10 nimesema jamaa akanishukia eti yangu itakuwa mbovu sasa na mimi nakuja ba link tuwasaidie wa tanzania wenzetu suyi hawa maboya wanajifanya kuibia watu nawasiwasi hawa ni nadalali wa lumumba na buafra.
 
usengwile

Join Date : 7th September 2013
Posts : 44
Rep Power : 317
Likes Received12
Likes Given1



KakaKiiza unajua hawavijana wametoka juzi tu huko milimani walikuwa wakichimbua viazi, sasa wamefika Dar kwa mjomba basi na yeye anajua kuuza magari.
hivyo akajiunga na JF 07/09/2013 na kuanza kututukana
sasa hivi Dunia ipo kiganjani, magari miaka hii mpaka unaruhusiwa kuongea na aliyelitumia huko Japan, na wala sio dalali, na wala hela haipotei.
Mnunuzi ukiogopa zaidi basi unanunua hapahapa TZ kupitia Zoom
hata ukitaka wanakuletea mpaka mlangoni mradi UWALIPE TU
Tena Noah, nipo Dodoma nikiitaka nyingine natwanga tu kati ya Arusha na Dar nawalipa Advance kwa M-Pesa wanawasili mlangoni
asante sana hawa watoto wenye majina ya namna hiyo huwa hawapiti kwa Ngaliba, halafu kaweka jina baya siwezi ongea naye
 
Last edited by a moderator:
Gari ulizoweka hapo iyo ya kwanza namba CBT noah old model ina zaidi ya mwaka tokea iingie tanzania, hyo BNT new model ni zaidi ya miaka 2 na nusu tokea iingie nchini, gari zangu zina 1 week toka ziingie nchini, kama ulitaka kutangaza biashara yako si ungeifungulia uzi mwingine? kama huijui hyo tradecar view wadanganye wenzio wakaibiwe pesa zao then warud hapa wakutafute na kilio, kumbe uko Dodoma 500km toka tanzania mengi yanakupita kaka, JF nipo miaka mingi, usione hyo joining date naona unantafutia BAN na huku mkuu, na hyo usengwile tafuta mtu wa songea akutafsirie,
 
Ndugu USENGWILE hapa umechemsha wana JF wamekupa za uso. huo wizi ukafanye huko huko kwa walugaluga wenzio unataka kupiga faida ya million 5 bila jasho hata kama ni DEI WAKA hapo umepitiliza

kwa ushauri wangu hebu pitia showroom then uliza bei ya haya magari, hizi Noah zote hapa iwe new model au old model ushuru sio chini ya 5million,port charges, registrations, agent n.k, usiniite mwizi huku hunijui, ni vizuri ukauliza ili ueleweshwe
 

OK, NGOJA NIJARIBU KUFANYA HESABU

CIF 2833*1610 = 4,561,130/=
TT FEE uSD +_10= 16,100/=
TAX ESTIMATE 3200,000/=
REGISTRATION FEE, MIN 320,000/=
PORT CHARGE 350,000/=
SHIPING LINE 300,000/=
PLANE NUMBER 38,000/=
AGENT 200,000/=
CARD 10,000/=
ESTIMATED TOTAL 8,957,230/=
UYU MTU AKIUZA 9,000,000/= ATAPATA FAIDA YA TSH 42,770/= IYO FAIDA NI SAWA NA KUNUNUA KIFURUSHI CHA INTERNET CHA MWEZI MZIMA ILI KUWEZA KUTRACK MZIGO/MELI. KWA UFUPI ATAKUWA ANAFANYA BIASHARA KICHAA.
 
Nmegundua hapa JF kuna watu wapo kwa madhumun ya kubisha hata kama hajui, then lingine kama ilivyo kwa watz wengi ni kukatishana tamaa, unakua attacked na mtu tena hata kwa matusi ili mradi atimize lengo la kukufanya uonekene huwezi, first hakuna noah ambayo ushuru wake utakuwa chini ya 4milion, na kwenye kufuatilia gari tangu unaagiza japan had ifike kuna mlolongo mrefu,
 
Ndugu yangu unalalama bure wewe mwenyewe umeadimiti kuwa Noah ushuru ni 4ml je CIF ni bei gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…