Nauza Mafuta Ya Alizeti

Gushleviv

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
3,457
Reaction score
5,324
Salamu zenu Wote,
Nauza mafuta ya Alizeti Halisi bei ni kama ifutavyo:-
Galoni 4 za lita 5(katoni) bei ni Tsh 60,000/-
Galoni 6 za lita 3(katoni) bei ni Tsh 60,000/-
Ndoo moja ya lita 10 bei ni Tsh 30,000/-

Mzigo upo wa kutosha, mafuta ni mazuri sana.

Anaehitaji ani PM au tuwasiliane kwa namba hii 0718 177 778
.

Asanteni.
 
wapatikana wapi ? mkuu enhe
 
Last edited by a moderator:
Toa mawasiliano utafutwe mkuu, bei yako nafuu sana.
 
Hamna shaka jamani baadhi nimeshawapm ila napatikana pia kwa hii namba 0718 177 778.
Tuwasiliane mzigo upo wa kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…