babacareeni
Member
- Jan 2, 2013
- 48
- 6
biashara hii kutapeliwa mpaka utake mwenyewe mkuu....ukiwa makini hakupati mtuDuh. Biashara ya madini ilivyojaa utapeli. Hutupati hapa
biashara hii kutapeliwa mpaka utake mwenyewe mkuu....ukiwa makini hakupati mtu
zipi ruby ambazo zinauzwa kwa bei ya gram mpaka kg hiyo ndo high caboshon...alafu ipo ruby yenye ubora unao uzwa kwa grm ambayo ukiwa na jiwe la grm 2 tu..ni milions of money...mkuuNafikiri inauzwa kwa kilo au debe.