Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
Weka picha nione
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
kuna madini ya lulu
wewe una madini ya johari
Diamond naye ana madini ya wema
Mercury si ndio johari au????
mimi pia nina madini
hayo niwekee mimi usimpatie mtu yeyote
poa so nisitafute SOKO?
usitafute soko nipo nanunua mimi
okey ngoja nikuhifadhie madini
funga kabisa na kufuli ya chuma