Nauza mabati, nimenunua yamezidi

pole...
Naddhani iwe funzo kwa wengine mnaokwepa utitiri wa wataalamu mtaani kwa kukimbilia urahisi...yumkini hata ramani ulipewa tu na fundi! Siku nyingine,hata kama sio wewe mshauri rafiki yako ama mwanao amwone msanifu majengo,mkadiriaji wa gharama za majenzi,mhandisi, na wataalamu wengine ili kuepusha mikanganyiko inayozuilika...
nyumba za uswahilini hazitaki mbwembwe nyingi, tunatumia mafundi wetu ambao ni wataalamu zaidi ya hao wataalamu wako wa makaratasi
 
Pole mkuu..., mkabidhi hayo mabati kama hesabu yake inatosha salio analokudai ili siku nyingine ajifunze!
 
Pole...
Naddhani iwe funzo kwa wengine mnaokwepa utitiri wa wataalamu mtaani kwa kukimbilia urahisi...Yumkini hata ramani ulipewa tu na fundi! Siku nyingine,hata kama sio wewe mshauri rafiki yako ama mwanao amwone msanifu majengo,mkadiriaji wa gharama za majenzi,mhandisi, na wataalamu wengine ili kuepusha mikanganyiko inayozuilika...
Unajifanya hujui ujenzi wa kitanzania au unajitoa tu ufahamu?
 
Nimenunua mabati kiwandani alaf (aluminium Africa) yamezidi yaani fundi ali over estimate mabati aina ya maxicover sijayagusa kabisa. mita sita na nusu yako mawili, mita nne na nusu yako saba, mita mbili na nusu yako mawili, mita tatu liko moja na mengine ...

Kiwandani wanauza 15840 kwa mita, mi ntauza 12500..

Namba yangu 0787478449..
attachment.php

Kaka bati ni geji ngapi. Mi nazitaka niko kivule na 0719022970
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom