Nauza LG GW 305 Mobile kwa bei nzuri

Nauza LG GW 305 Mobile kwa bei nzuri

VeniGan

Senior Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
135
Reaction score
9
Nauza LG GW 305 mobile kwa bei nzuri kabisa. Ina guarantee ya mwaka mzima, Qwerty keyboard easy-messaging. Send me a PM ili tufanye biashara mapema kabla bidhaa haijaenda.
 
Mkuu taja bei tufanye biashara
 
Watu wengine bwana, bei nzuri ndiyo nini??!!! Kwa nini usitaje bei yako hapa ili uturahisishie hata sie wengine kuamua??
 
Mpya inaenda kwa 240k,
Sema upewe 150k kama ni used.
 
utamuuzaje mbuzi kwenye gunia. Weka picha yake!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom