Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,213
- 45,865
cocochanel una tabia za kimasikini na roho mbaya unajisifu kumiliki laptop na kudharau anachouza mtu mwingine ambae yeye hata umjui...
Let The Law Of Karma Take Care Of You.Kwa vitabia vyenu hivi eeeeeeh
Ndio maana mnasoma nkimaliza mnatoka vifuu vya nazi.. yaani mna shida..
Mjibadili na wewe utakuwa kama yeye wote hamjui hata kutangaza mnachouza.. bure kabisa bora mkajifunze kwa ambao hawakusoma kufika mlipo
Namuonaga Sana Kwenye Majukwaa Ya Siasa Na Mengine Jinsi Ni Mtu Wa Upeo Ghani Wa Kufikiri Na Kuchambua Matukiococochanel una tabia za kimasikini na roho mbaya unajisifu kumiliki laptop na kudharau anachouza mtu mwingine ambae yeye hata umjui...
Kama Ni Mtumba Sikatai Hiyo Bei Yako.Laptop hiyo ni toleo la zamani tangu enzi za windows vista kwa hizo specifications kama kweli ulinunua 500k miaka 2 iliyopita basi ulipigwa. Ninayo kama hii nilinunua mtumba k/koo kwa 250k.
Dukani haiuzwi hiyo bei hizo ni toleo la zaidi ya miaka 13 iliyopita na kama ulinunua hiyo bei ulipigwa.Kama Ni Mtumba Sikatai Hiyo Bei Yako.
Mimi Naliandika Bei Yake Ya Dukani Ikiwa Mpya.
PS : Read Between The Lines
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaani wewe bei ni chini ya laki 3kula laki 3
daaah nataka niongezee dau kama kwenye mnada wa nyumba za lugumi mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaani wewe bei ni chini ya laki 3
Hahha muuzaji ataona aibu kukubaliAisee Watu Kama Hawa Wakati Mwingine Wanatuondolea Stress Zetu. Daaaah. [emoji23]
mkuu sawa nilijaribu kuwa kama dr shika tuNilikuwa Na Mood Mbaya Punde Nilipoona Comment Yako Imenidi Nichekee Tu.
Naona Uzi Umekuwa Wa Utani Na Kupigana Majungu.
H[emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Bhado Sijakuelewa Lengo Lako Haswa
Wewe Ni Mnunuzi Au Mchunguzi? Tuanzie Hapo Kwanza.
Mara ya mwisho 2016, 350,000. Amazon na Ebay zipo mpaka $80-$120Naomba Unitajie Bei Yake Mpya Dukani.
Windows 8 Nime Install Mkuu Sio Ilikuwepo Tangu Mpya.Mara ya mwisho 2016, 350,000. Amazon na Ebay zipo mpaka $80-$120
Kwanza kabisa hii ni tayari ni retired product kwa maana hakuna tena product za hp ikiwa na brand ya hewlett packard ambazo ziliishia 2015 kwa sasa ni hp inc. Na kama ulinunua ukakuta window 8 huo ni mtumba pure hizi zilikuwa zinakuja na windows xp au windows vista.