Nauza Laptop HP

Nauza Laptop HP

mkuu ingekuwa ndo mwisho wa mwezi ningekucheck.
Habari Wakuu!
Nauza PC Bhado Mpya Ninahitaji Hela Ya Haraka Nimepata Dharura.

RAM 2GB
Hard Disk 150GB
Windows Installed 8
Processor 1.8GHz

Location = Sinza
Contact = 0622543431

Price 270,000 TSh. / Negotiable.
 
Nashukuru Sana For Your Concern Mkuu!
Kama Nilivyo Sema Awali Nimenunua 500k
Then Haina Tatizo Lolote Lile Kuuza Kwa Hiyo Bei Ni Ukichaa.
Lakini mkuu hiyo PC sio ya 500k...Alafu sio mpya ni mtumba...hyo stiker ya windows xp na model ya hiyo PC inaonyesha kabisa sio mpya...Pia uwezo wake mdogo sana kuwa mpole tu usikilize offer za Wananchi
 
Ahsante Mkuu!
Kama Upo Serious Pandisha Kiasi Tuweke Mambo Sawa.

Mmmmmmh
Unanunu wewe bei ya mwanzo si utaijua wewe..

Yaani mimi old skuli laptop yangu ina miaka 6/7 ina 500gb.. RAM8gb na ipo haitumiki bali ipo bombaaaa.. beinaikumbuka sababu ilikuwa mmmmh
Sasa eti nikusaidie kupandisha..

Sasa onyesha risiti... eeeeh
 
Bhado Sijakuelewa Lengo Lako Haswa
Wewe Ni Mnunuzi Au Mchunguzi? Tuanzie Hapo Kwanza.
 
Utakuwa umeidokoa au ni dalali na pia hauimiliki kihalali na hujawahi.
Mimi Ni Mwanachuo, Sio Dalali Wala Mdokozi.

Now I Understand Your True Colors
You're Here To Distort And Dismantle My Thread. Go On Dear!

Life Has So Many Funny Ways To Prove Us Wrong.

Enjoy Your Day.
 
Mimi Ni Mwanachuo, Sio Dalali Wala Mdokozi.

Now I Understand Your True Colors
You're Here To Distort And Dismantle My Thread. Go On Dear!

Life Has So Many Funny Ways To Prove Us Wrong.

Enjoy Your Day.

Ona sasa unavyochemka kama vile nimekuomba uandike hayo

Unafikiri kwa picha zako sikuona rika la age group yako
 
Utakuwa umeidokoa au ni dalali na pia hauimiliki kihalali na hujawahi.
Shida una roho ya korosho haitakusaidia waache wanafunzi wauziane laptop kama hukupita huko usilazimishe kupita sasa hivi unasumbuka tuu bure...kujifanya mjuaji laptop wewe uwe nayo usiwe nayo hayo yanamsaidia nini muuzaji...
 
Nashukuru Mkuu Kwa Kumchana Mubushara Huyu Bibie.

Bahati Mbaya Au Nzuri Sijui Kumjibu Mtu Wa Aina Yake Kwa Kumdhalilisha.
 
Shida una roho ya korosho haitakusaidia waache wanafunzi wauziane laptop kama hukupita huko usilazimishe kupita sasa hivi unasumbuka tuu bure...kujifanya mjuaji laptop wewe uwe nayo usiwe nayo hayo yanamsaidia nini muuzaji...

Kwa vitabia vyenu hivi eeeeeeh

Ndio maana mnasoma nkimaliza mnatoka vifuu vya nazi.. yaani mna shida..

Mjibadili na wewe utakuwa kama yeye wote hamjui hata kutangaza mnachouza.. bure kabisa bora mkajifunze kwa ambao hawakusoma kufika mlipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom