Kaka mimi nadhani ungekuwa unatoa maelezo ya kutosha wengine hawamjui Koi fish ni samaki wa aina gani na wanatumika kivuli,nadhani ungeanzia kusema samaki aina ya Koi ni samaki wa mapambo asili yake ni japani wana rangi kwa mfano nyekundu na nyeupe ,unatupia na picha yake ,sio rahisi sana mtu kwenda youtube kutafuta picha ya video ,onyeshachako unachokiuza mwenyewe.