Nauza kiwanja

Nauza kiwanja

Qulfayaqul

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2008
Posts
480
Reaction score
84
Jamani wana jf nimetingwa nauza kiwanja na matofali kama 580, kiwanja kina ukubwa wa 25mx20m na ninauza kwa 2,800,000/=, location: kiwanja kipo kivule kitunda ukifika Banana unashuka then unapanda magali ya kivule yanapita kitunda mpaka huko, kipo karibu na shule mbili za sekondari. Matofali nauza kwa Tshs 650 kila tofali.( Kiwanja hakijapimwa ila nina haki zote za umiliki kutoka serikali za mitaa, niliuziwa na mtu)
Mawasilano simu namba 0713-357542
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom