Nauza kiwanja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza kiwanja

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Qulfayaqul, Aug 5, 2010.

 1. Qulfayaqul

  Qulfayaqul JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2010
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 471
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jamani wana jf nimetingwa nauza kiwanja na matofali kama 580, kiwanja kina ukubwa wa 25mx20m na ninauza kwa 2,800,000/=, location: kiwanja kipo kivule kitunda ukifika Banana unashuka then unapanda magali ya kivule yanapita kitunda mpaka huko, kipo karibu na shule mbili za sekondari. Matofali nauza kwa Tshs 650 kila tofali.( Kiwanja hakijapimwa ila nina haki zote za umiliki kutoka serikali za mitaa, niliuziwa na mtu)
  Mawasilano simu namba 0713-357542
   
 2. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 522
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  fanya milioni 2 mimi nije kesho kutoa hela cash
   
 3. Qulfayaqul

  Qulfayaqul JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2010
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 471
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Milioni mbili inanibana mkuu, hata nilionunulia hairudi fanya 2.5m nakupa kama mnunuzi wa ukweli.
   
 4. Qulfayaqul

  Qulfayaqul JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2010
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 471
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mwana kama kweli you're serious njoo basi tufanye biashara njoo na kama 2.3m tuanze biashara.
   
Loading...