nauza kiwanja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nauza kiwanja

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Chiwa, Aug 15, 2011.

 1. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 1,349
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  kipo twangoma kimepimwa medium size
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  Twangoma ni wapi.....?
   
 3. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Twangoma ni wapi?toa exactly location sio mihogo hyo.
   
 4. m

  mnyakyusa JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Anataka kututapeli huyu kweli kiwan ja Tgwangoma hata barabara haifiki labda kwa miguu
   
 5. samito

  samito JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kajipange uje tena ukiwa na details, sio unakurupuka na ku2tajia kijiji chenu
   
 6. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,422
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  ananisha viwanja vya mradi Tuangoma kigamboni
   
 7. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #7
  Aug 15, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Weka data vizuri!
   
 8. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Jieleze vizuri,ukubwa,mahali na kiasi
   
 9. D

  Double New Member

  #9
  Aug 16, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amani kwenu nyote,naomba kujiunga na nyie!
   
 10. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mbona munamshambulia jaman?kama wahitaji kiwanja na kujua kipo tuangoma cha muhimu ni kumuuliza maswali ya msingi tuu!je unayo building permit?barabara inafika?umeme upo karibu?maji je yapo karibu?

  Pia angeweka bei kabisa ili watu wajitume!
   
 11. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  tuangoma ni maeneo ya kongowe Dar es salaam kama wewe unakaa benaco huwezi pajua.lakini viwanja vyenyewe kama vile bush kashavinunua.
   
 12. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Kigamboni,ukitokea Mbagala -Kongowe ni karibu kama 3-5 km.
   
 13. J

  Joseph Zito Member

  #13
  Aug 16, 2011
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha jazba biashara matangazo na kujieleza vizuri!! weka bei location ukubwa umbali kutoka main road, je wewe ni dalali au ndio mmiliki? jieleze kama Muuzaji sio "nauza kiwanja" kama unasema naenda kukojoa
   
 14. F

  FUSO JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,856
  Likes Received: 2,333
  Trophy Points: 280
  Juzi nilikuwa huko natafuta kiwanja - toa bei fasta
   
 15. F

  FUSO JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,856
  Likes Received: 2,333
  Trophy Points: 280
  watoto wa masaki utawajua tu, kuna Tuangoma, Mwanekilato, Kimbiji, Tudwi songani, Gezaulole. Hivi vyote ni vile vijiji ya ujamaa vya mwanzo enzi la mwalimu miaka ya 70 kweusi kama ulisoma history. Huku ndiyo serikali yetu imepima viwanja baada ya kuwalipa wale wakazi hela kiduchu kiduchu.

  Kutoka feli ni KM 17 kama unakwenda Kongewe - Mbagala.
   
 16. F

  FUSO JF-Expert Member

  #16
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,856
  Likes Received: 2,333
  Trophy Points: 280
  hapana ni kweli Tuangoma viwanja vilipimwa i think 2008, na watu walipewa. sasa wengine wanauza. si utapeli.

  Viwanja vilivyopimwa that time ilikuwa Kibada, Sokota na Tuangoma. so mzee kama una chenji jitupe upate kiwanja mitaa hiyo. Bababara ipo ya lami toka feli hadi kongowe. kama nilivvyosema Tuangoma ni kama km 17 toka feli.
   
 17. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #17
  Aug 16, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tuangoma pako poa, toa bei mkuu tukichangamkie.
   
 18. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #18
  Aug 16, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mi cha kwangu kipo BUYUNI cha mradi pia ....nakiuza TZS6000/sq meter(bei ya serikali),kina ukubwa wa 2000sqM.kinalipiwa land rent kila mwaka toka 2007.
  kwa sasa kuna mradi mkubwa wa PPF,wanajenga nyumba elfu kadhaa kule...barabara ni nzuri ,zilichongwa enzi za magufuli akiwa pale ardhi.
  kwa nini nauza? jibu: nimegundua kumiliki viwanja bila nyumba sio deal mjini hapa,nakusanya funds niendeleze ujenzi.

  anayehitaji aniPM pls
   
 19. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 1,349
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  ni kweli nauza kipo block 11 plot namba 104 ukubwa mita za mraba 984 na mbele yake kuna open space unaweza kunipigia 0783226144
   

  Attached Files:

 20. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #20
  Aug 20, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Duh si bora ungesema KONGOWE/Mabagala?
   
Loading...