chanika holdings
Member
- Mar 16, 2014
- 25
- 3
Nina kiwanja karibu kabisa na lami na kituo cha daladala,kwenye barabara ya chanika-Mvuti,ni high density(hakijapimwa),tambalale na karibu na makazi ya watu,nyumba ya vyumba vitatu inasimama bila matatizo,barabara mpaka uwanjani,unaweza fika hapo kwa kupitia njia ya gongo la mboto mpaka chanika,au mbagara mwisho mpaka mvuti,unapita uwanja wa bakhresa.
mawasiliano: 0656 33 50 33/ 0687 97 87 51
mawasiliano: 0656 33 50 33/ 0687 97 87 51